Breaking News

RAIS DK. MAGUFULI AKITOA POLE KWA FAMILIA YA MZEE MASHAKA KWA KUFIWA NA MKEWE REHEMA PAUL MUMBULI MAMA MZAZI WA MKUIU MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO

RAIS DK. MAGUFULI AKITOA POLE NYUMBANI KWA FAMILIA YA MZEE MASHAKA BAADA YA KUFIWA NA MKEWE REHEMA PAUL MUMBULI AMBAYE NI MAMA MZAZI WA MKU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO NA KUMPA POLE  KWA KUFIWA NA MAMA YAKERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye ni mama mzazi wa  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake Marehemu Rehema Paul Mumbuli leo Aprili 18, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sanini kwenye kitabu cha maombolezo baada ya kuwasili mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia ya Mzee Mashaka Gambo kwa kufiwa na mkewe ambaye pia ni mama mzazi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli  leo Aprili 18, 2018


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa pole  Muu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo alipofika nyumbani kwao mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kumfariji kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli  leo Aprili 18, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpa pole  Muu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo alipofika nyumbani kwao mtaa wa Muheza Kariakoo jijini Dar es salaam kumfariji kwa kufiwa na mama yake mzazi Marehemu Rehema Paul Mumbuli  leo Aprili 18, 2018 

OFISI YA WAZIRI MKUU RIPOTI YA KOROSHO

Waziri wa Kilimo Dk. Charles Tizeba, akimkabidhi ripoti ya uchunguzi wa kuwekwa mawe na mchanga katika korosho ghafi iliyosafirishwa kwenda Vietnam, Aprili 18.2018.

No comments