Breaking News

IDADI YA WANAWAKE WALIOTELEKEZEWA WATOTO WAFURIKA KWA RC MAKONDA LEO
UMATI wa wanawake  waliotelekezwa na wanaume wao baada ya kuwazalisha,  wakiwa na watoto wao katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Ilala Boma, ili kutoa kero zao, jana.

MKUU wa Mkoa wa Dar es  Salaam, Paul Makonda, akihutubia maelfu ya wanmawake waliofika ofisi kwakwe Ilala Boma, jana, ili kutoa kero zao za kutelekezwa na wanaume baada ya kuzalishwa watoto


MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, akiwajulia hali watoto waliotekelezwa na baba zao, wakati akisikiliza kero za wanawake waliozalishwa na wanaume kisha kutelekezwa, jana
FARIDA MOhammed, akiwa amebeba watoto wake mapacha, akipata maelekezo ili kusikilizwa kero zake katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, jana

No comments