Breaking News

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA NCHINI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke mara baada ya kumaliza mazungumzo  ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana  na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Sarah Cooke (kulia) pamoja na Mkuu wa Masuala ya Kijamii na Siasa  Bw. Marc Thayre ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.

5:6&7: 

No comments