Breaking News

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KINGA DHIDI YA SARATANI DAR ES SALAM


MAKAMU WA RAIS AZINDUA KINGA DHIDI YA SRATANI  DAR ES SALAAM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Samia Suluhu Hassan akiwa ameshikilia chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem, wengine pichani ni mabinti waliokuwa wa kwanza kupatiwa chanjo hiyo wakati wa uzinduzi, kushoto ni Neema Felix (14) mkazi wa Mbagala na mwingine ni Hadija Bakari (14) mkazi wa Kigamboni.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Samia Suluhu Hassan akishuhudia Binti mwenye umri wa miaka 14 anayefahamiaka kwa jina Hadija Bakari mkazi wa Kigamboni akichomwa chanjo ya kukinga saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kwenye viwanja vya Mbagala Zakhem wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

No comments