Breaking News

MATUKIO YA MAWAZIRI MBALIMBALI BUNGENI


PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama  akizungumza na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso, bungeni  mjini 


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka 2018/2019,


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu George Mkuchika akizungumza na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso (kushoto) na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Joseph Kakunda (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 19, 2018. Wengine pichani ni watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani.


No comments