Breaking News

WAZIRI MKUU AHUZURIA MAZISHI YA MWANASIASA MAARUFU ;MATOPA


WAZIRI MKUU AMUAGA MWANASIASA MAARUFU MATOPAWaziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na waombolezaji katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj, Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Apili 11, 2018


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika mazishi ya Mwanasiasa na Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa Mkoa wa Lindi, Alhaj Ali Mtopa katika kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa, Aprili 11, 2018

 Waombolezaji wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika mazishi ya Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti wa CCM Mstaafu wa mkoa wa Lindi, Alhaji Ali Mtopa kwenye kijiji cha Nanjilinji wilayani Kilwa Aprili 11, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki katika sala ya kumwombea Mwanasiasa Mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM mkoa wa Lindi,   Alhaj Ali Mtopa wakati aposhiriki katika mazishi  ya Mwansiasa huyo yaliyofanyika kwenye kijiji cha Nanjilinji  wilayani Kilwa, Aprili 

No comments