Breaking News

MATUKIO MBALI MBALI KATIKA PICHA BUNGENI DODOMA LEO

 WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi ,Vijana Ajira,  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiteta na Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina, Bungeni jijini Dodoma, leo.

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akijibu maswali.
 WAZIRI wa Kilimo na Mifugo, Luhaga Mpinda  akitoa maelezo kuhusu uhakika wa usalama wa nyama wanayokula wananchi..
 NAIBU Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na wanawake kutoka Mbeya  waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Naibu Waziri wa Kilimo Mary Mwanjelwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Watatu kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Harrison Mwakyembe. Kulia ni Mbunge wa Lupa,  Bvictor Mwambalaswa na watano kulia ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinda.
 WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama (Mbunge), kwenye viwanja vya Bunge.
 MAJALIWA akizungumza na Mbunge wa Madaba, Joseph Mhagama, kwenye viwanja vya Bunge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments