Breaking News

MATUKIO YA MHE.WAZIRI MKUU BUNGENGI 3.5.2018

 Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza, bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia Bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Anne Kilango Malecela, Bungeni Jijini Dodoma Mei 3, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikalikwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Mayengakwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Wafanyakazi wa Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018, kutoka kushoto ni Godfrey Nago, Abdulhamid Nzota na Mtumishi wa Wizara ya Ujenzi, Stanford Matovolwa. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa kwenye viwanja vya Bunge Jijini Dodoma Mei 3, 2018. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments