Breaking News

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AZUNGUMZA NA KAMATI YA AMANI YA WILAYA YA RUANGWA, AFUTURISHA

  BAADHI ya wajumbe wa Kamati ya Amani ya wilaya ya Ruangwa inayoundwa na viongozi wa dini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa (hayupo pichani), wakati alipozungumza nao kwenye ukumbiwa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa jana. (Pcha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
  WAJUMBE hao wa Kamati ya Amani ya wilaya ya Ruangwa wakimsikiliza Majaliwa (hayupo pichani), wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Amani ya  wilaya ya Ruangwa inayoundwa na viongozi wa dini kwenye ukumbi wa CCM katika mji mdogo wa Ruangwa.

 MAJALIWA (kushoto), akiagana na baadhi viongozi dini na wazee baada ya kufutarisha kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Likangala  katika mji mdogo wa Ruangwa janna.

No comments