Breaking News

RAIS DK. JOHN MAGUFULI AFANYA UTEUZI.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli, amemteua Dk. Lutengano Undule Mwakahesya, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (Petroleum Bulk Procurement Agency – PBPA).


Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, imeeleza kuwa uteuzi wa Dk. Mwakahesya umeanza jana Novemba 21, 2018.

No comments