Breaking News

TIMU ZA BUNGE ZA MPIRA WA MIGUU NA PETE ZAJIFUA VIKALI KWA AJILI YA KUJIANDAA KUSHIRIKI KUSHIRIKI MICHUANO YA MABUNGE YA AFRIKA MASHARIKI INAYOTARAJIWA KUFANYIKA BUNJUMBURA, NCHINI BURUDI MWEZI UJAO.


      KIPA wa timu ya mpira wa miguu ya Bunge ya  ‘Ndugai Boys’, Hamidu Bobale (Mbunge), akidaka mpira wakati wa mazoezi yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Jamuhuri Jijini Dodoma, tayari kwa kushiriki michuano ya Mabunge ya Afrika Mashariki inayotarajiwa kufanyika Bujumbura Nchini Burundi mapema mwezi ujao.1.      KOCHA Msaidizi wa Timu ya Bunge ya ‘ Ndugai Boys’  Ahmed Juma Ngwali (Mbunge),, akitoa maelekezo kwa wachezaji kabla ya kuanza mazoezi katika  uwanja wa JamuhuriJjijini Dodoma.Mchezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge, Anna Gidarya  (Mbunge), akimiliki  mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo.  Bunge Queens inajiandaa na michezo ya Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura  Nchini Burundi kuanzia Desemba mosi mwaka huu
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye ni mchezaji wa Timu ya Mpira wa Pete ya Bunge, Angelina Mabula (Mbunge), akidaka mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo. Bunge Queens inajiandaa na michezo ya Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura Burundi kuanzia Desemba mosi mwaka huu1.      KIPA wa wa  ‘Ndugai Boys’, Hamidu Bobale (Mbunge), akifanya 'vitu vyake'. MCHEZAJI  wa Timu ya mpira wa Pete ya Bunge Hawa  Mwaifunga (Mbunge), akirusha mpira mbele ya wachezaji wa Timu ya Wizara ya Afya, wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu hizo. Bunge Queens inajiandaa na michezo ya Mabunge ya Jumuia ya Afrika Mashariki itakayofanyika Jijini Bujumbura, Nchini  Burundi kuanzia Desemba mosi mwaka huu. (Picha zote na Ofisi ya Bunge).

No comments