Breaking News

MAJALIWA ATOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU NDEJEMBI JIJINI DODOMA.

 WAZIRI  Mkuu, Kassim Majaliwa (kulia), akisalimiana na Balozi Job Lusinde, wakati alipowasili nyumbani kwa mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Pancras Ndejembi,  eneo la Kilimani Jijini Dodoma kutoa pole kwa familia ya marehemu leo  Desemba 29, 2018. Kushoto ni Mbunge wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa na Waziri Mstaafu, William Kusila.. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 MAJALIWA akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha mwanasiasa mkongwe nchini, Pancras Ndejembi, nyumbani kwa marehemu huyo.
WAZIRI Mkuu, akimpa pole Bibi  Leah Pancras Ndejembi, Mjane wa mwanasiasa mkongwe nchini, marehemu Pancras Ndejembi. 
 WAZIRI Mkuu Majaliwa, akimpa pole, Edna Ndejembi, ambaye ni mtoto  marehemu Ndejembi.
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na waombolezaji nyumbani kwa  marehemu Ndejembi

No comments