Breaking News

VIONGOZI WA OFISI YA RAIS-UTUMISHI NA UTAWALA BORA WATEMBELEA MJI WA SERIKALI JIJINI DODOMA KUJIONEA MAENDELEO YA UJENZI WA OFISI YA RAIS, MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA.

 
WAZIRI Mkuchika na Naibu wake Mary, wakipewa maelezo kuhusu ujenzi wa ofisi ya wizara hiyo  na Msanifu Majengo wa TBA, Kileo Yusuph, wakati viongozi hao walipotembelea mji wa Serikali Ihumwa, Jijini Dodoma kujionea maendeleo ya ujenzi wa ofisi hiyo jana. 


WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapeteni Mstaafu. George Mkuchika (katikati),  na Naibu wake Dk. Mary Mwanjelwa, wakionyeshwa ramani ya ofisi na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk. Laurean Ndumbaro, inayojengwa katika Mji wa Serikali Ihumwa, Jijini Dodoma

                        WAZIRI Mkuchika, akingalia ramani ya ofisi hiyo.


MKUCHIKA (katikati), na Naibu wake Mary, wakionyeshwa ramani hiyo na Ndumbaro jana Desemba 9, 2018. (Picha zote na James Mwanamyoto).

No comments