Breaking News

MAJALIWA AKUTANA NA MWALIMU WAKE WA SHULE YA MSINGI.

 WAZIRI  Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na  aliyekuwa mwalimu wake,  Notburga  Mbepera, wakati walipokutana na kuzungumza mjini Songea hivi karibuni. Mwalimu huyo alimfundisha Waziri Mkuu katika Shule ya Msingi ya Mnacho wilayani Ruangwa 1973 - 1980. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments