Breaking News

MKURUGENZI IDARA YA URATIBU MAAFA OFISI YA WAZIRI MKUU ATEMBELEA MJI MPYA WA SERIKALI, IHUMWA, DODOMA.

 MKURUGENZI Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali, Jimmy Matamwe, akizungumza na na Mratibu Ujenzi Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka Mzinga Holdings Company, Kapteni Erick Siara, wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa Ofisi hiyo,  katika Mji mpya wa serikali, Ihumwa, Dodoma leo Januari 17, 2019. (Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu).KANALI Matamwe akiangalia shughuli za ujenzi wa  Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa Serikali, Ihumwa, Dodoma.

 MKURUGENZI Mkuu  wa Mzinga Holdings Company, Meja Jenerali Seif Makona (kushoto), ambaye ndiyo Mkandarasi anayejenga Jengo la Ofisi ya Waziri Mkuu katika Mji mpya wa Serikali Jijini Dodoma akiteta na Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe, wakati  Matamwe alipotembelea eneo la ujenzi wa ofisi hiyo, leo Januari 17 Januari, 2019.

MATAMWE, akizungumza na mmoja ya mafundi kutoka Mzinga Holdings Company wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa  jengo hilo.

No comments