Breaking News

BREAKING NEWS :MWIGULU NCHEMBA APATA AJALI MBAYA.Na Mwandishi Wetu
Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu nchemba amepata ajali mbaya ya gari akiwa njiani barabara ya Iringa kuelekea Dodoma,
Kwa sasa amekimbizwa hospitalin ya Dodoma kwa matibabu zaidi,taarifa za kina hivi punde.


No comments