Breaking News

PICHA: KALEMANI AKIWA KWENYE ZIARA WILAYANI MBOGWE.

 Waziri wa Nishati, Medard Kalemani (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa umeme katika Kijiji cha Kasosobe, Kitongoji cha Mkolani wilayani Mbogwe. Wa Tatu kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Martha Mkupasi na wa kwanza kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Amos Maganga.

Waziri wa Nishati, Medard Kalemani (kushoto) akikagua mitambo ya kisasa ya kuchenjulia madini tani 10 kwa saa ambayo ipo katika Kijiji cha Shenda wilayani Mbogwe na kuahidi kupeleka umeme hivi karibuni.
Wataalam mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati, Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nishati aliyokuwa akiitoa katika Kijiji cha Ryobaila wilayanu Bukombe ambacho kimepata huduma ya umeme.
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (mwenya shati ya bluu) akiwa katika machimbo ya Nyakafuru yaliyo katika Kijiji cha Nyakafuru wilayani Mbogwe.

No comments