Breaking News

PICHA; MAJALIWA AWASILI KIGOMA KWA ZIARA YA KIKAZI


 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiwapungia wananchi wakati walipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma kuanza ziara ya kikazi mkoani humo, Februari 16, 2019.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Emmanuel Maganga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments