Breaking News

PICHA:MAJALIWA ALIVYO TOA POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU RUGE


 Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa  na mkewe Mary (wa pili kulia) wakimfariji mama Mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba, Christiana Mutahaba wakati  walipokwenda nyumbani kwao  marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, kutoa pole kwa familia ,  Februari 27, 2019.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baba mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba.


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu Ruge Mutahaba.

No comments