Breaking News

PICHA:MKUCHIKA KATIKA KIKAO NA WATUMISHI WA UMMA.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika (Mb) akisalimiana na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bi. Immaculate Ngwale alipowasili Ofisi za Tume ya Utumishi wa Umma, Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam kuzungumza na watumishi wa Tume hiyo.

Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Jaji Mstaafu Stephen Bwana akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika kuzungumza na watumishi wa Tume  Kulia ni Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Richard Odongo.

Kaimu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Richard Odongo akitoa neno la utangulizi wakati wa kikao kazi kati ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi kati yake na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma Jaji Mstaafu, Stephen Bwana.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika akizungumza  na Makamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kabla ya kuanza kikao kazi kati yake na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma. 

Naibu Katibu, Tume ya Utumishi wa Umma, Rosy Elipenda akitoa neno la shukrani kwa niaba ya watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wakati wa kikao kazi kati ya Waziri George Mkuchika na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma.

No comments