Breaking News

PICHA:SEKTA ZA AFYA NCHINI ZA SHAURIWA KUITEKELEZA AFYA MOJA

Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe akieleza  jambo wakati  wa warsha ya  maafisa viungo wa Afya moja mjini Morogoro leo tarehe 26, Februari, 2019


Mtaalamu wa Afya moja toka sekta ya Afya ya Mifugo, Joseph Masambu akichangia juu ya  umuhimu wa dhana ya Afya moja nchini 

Baadhi ya Wataalamu wa sekta za Afya , sekta ya Afya ya binadamu, Afya ya wanyamapori na mifugo pamoja na mazingira  wakifuatilia  warsha ya  maafisa viungo wa Afya moja mjini Morogoro leo tarehe 26, Februari, 2019.

Mtaalamu wa Afya moja toka sekta ya Afya ya Binadamu, Japhet kilewo akichangia juu ya  umuhimu wa dhana ya Afya moja nchini wakati  wa warsha ya  maafisa viungo wa Afya moja mjini Morogoro leo tarehe 26, Februari, 2019.

Maafisa viungo wa Afya moja kutoka Wizara, Idara, Taasisi,  Mashirika ya serikali na ya Kimataifa, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa warsha ya Uongozi wa  maafisa viungo wa Afya moja mjini Morogoro leo tarehe 26, Februari, 2019, 

No comments