Breaking News

ZANA COULIBALY AKOSHWA NA AMBERRUTY.
BAADA ya kuisaidia timu yake ya Simba kuondoka na alama tatu muhimu beki kisiki wa Simba  Zana Coubaly ameonyesha kuto kasirishwa na majina ya utani anayoitwa na mashabiki nchini.

Kupitia ukurasa wake wa instagram Zana ameandika ujumbe unao ashiria furaha na upendo kwa mashabiki wa soka hasa wale wasio mwelewa juu ya kiwango chake uwanjani.

“Say my name……..!!!! They call me ….. Zana ambairut, Zana mduku, Love you Tanzanian.”


Zana alisajiliwa Desemba mwaka jana na Simba kama mbadala wa Shomari kapombe, ambapo amecheza mashindano mengi kama vile mapinduzi cup, sportpesa, ligi kuu lakini mchezo wa leo umemfanya kukubalika zaidi kwa mashabiki wa soka kinyume na ilivyokuwa awali.No comments