Breaking News

PICHA: KILICHO ENDELEA LEO KATIKA KIKAO CHA MAJUMUHISHO WIZARA YA MADINI DODOMA.

     Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Danstan Kitandula wa kwanza kushoto akisikiliza maelezo ya ujenzi wa jengo la taaluma la chuo cha Madini (MRI) kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Chuo Fredrick Mangasini wa kwanza kulia na wapili yake ni Waziri wa Madini Doto Biteo. 

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,Danstan Kitandula wa kwanza kushoto akimueleza jambo Waziri wa Madini Doto Biteko, anae mtazama na wa kwanza kushoto ni Issa Nchasi Mkurugezi wa Utawala na Raslimali Watu Wizara ya Madini.

    Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na viongozi wa Wizara ya Madini wakiwa kwenye kikao cha majumuisho baada ya kutembelea miradi 

   Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa na viongozi wa juu wa wizara ya madini wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya jingo la Wizara Ihumwa Dodoma.

No comments