Breaking News

PICHA: KONGAMANO LA KUMPONGEZA RAIS SHEIN

Makamu wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Ali Mohamed Shein kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi lililofanyika kwenye hotel ya Verde.

Mwenyekiti wa UWT Taifa Gaudensia Kabaka akihutubia kwenye Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Ali Mohamed Shein kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi.


Sehemu ya Waliohudhuria Kongamano la UWT la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ali Mohamed Shein kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi lililofanyika kwenye hotel ya Verde. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments