Breaking News

PICHA: SAMIA SULUHU HASAN AKIFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU RAIS WA KENYA.


Makamu wa Rais wa  Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Rais wa Kenya William Ruto katika hoteli ya Munyonyo Commonwealth Resort, Kampala nchini Uganda ambapo kuna mkutano wa Africa Now Summit 2019. 
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments