Breaking News

PICHA:MAJALIWA AKIWA KIJIJINI KWAO NANDAGALA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kisima cha maji safi, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwashukuru Halima Athumani (kulia) na Zuena Bakari (katikati) kwa zawadi ya mahindi, katika kijiji cha Nandagala Wilayani Ruangwa Machi 15.2019.

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimia watoto, katika kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana waendesha bodaboda kijijini Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na vijana kijijini kwake Nandagala wilayani Ruangwa Machi 15.2019. 

 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Bi. Fatu Omar kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, aliye soma nae darasa moja shule ya msingi. 
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na dada yake, Fatma Majaliwa kijijini kwake Nandagala Machi 15.2019, kushoto ni mtoto wa dada yake Hidaya Rashid.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi bakora mwanakijijini wa Nandagala Mzee Khamis Kandege Machi 15.2019. 

No comments