Breaking News

DAWASA WAKIFANYA YAO DAR ES SALAAM.


Fundi wa Dawasa akifungua maji ikiwa ni kwa Mara ya kwanza kutoka katika kata ya Bonyokwa


Ofisa Mtendaji Mkuu wa Dawasa Mhandisi Cyprian Luhemeja mwenye miwani  akikagua mradi wa maji wa Bonyokwa, wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano kwa Umma Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Neli Msuya.


Mmoja wa wananchi waliopata maji ambaye jina lake halikuweza kuptikna mara moja akiwahojiw na waandishi wa habari juzi

No comments