Breaking News

KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON.

Katibu wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Stephen Kagaigai akizungumza jambo na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kimataifa Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

Katibu wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Stephen Kagaigai pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kimataifa Emilia Monjowa Lifaka wakiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Jumuiya hiyo   walipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo.

Katibu wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Stephen Kagaigai akimuelezea jambo Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kimataifa Emilia Monjowa Lifaka alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. Kushoto ni Mjumbe wa Kamati ya UtendajI ya Jumuiya hiyo Maria Kangoye.

Naibu Spika wa Bunge la Cameroon na Mwenyekiti wa Kamati ya Utendaji ya Nchi za Jumuiya ya Madola Kimataifa Emilia Monjowa Lifaka akimuelezea jambo Katibu wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Stephen Kagaigai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. 

No comments