Breaking News

MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA MAURITIUS NA MWEKEZAJI IKULU DSM.


Picha A1: Rais Dkt. John Magufuli katika picha ya kumbukumbu naMwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Gansam Boodram, Balozi wa Mauritius nchini, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. EdwinMhede  pamoja naMaafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya kukutana nakufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es salaam.

Dkt.  Magufuli akizungumza na Balozi wa Mauritius nchini Jean Pierre Jhumun pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt Edwin Mhede, Maafisa wa Kituo cha uwekezaji na wa Ikulu baada ya
kuonana na kufanya mazungumzo na balozi huyo Ikulu jijini Dar es salaam.Aprili 17,2019.


Dkt. Magufuli akiongea na wanahabari akiwa na John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritiusnchini Jean Pierre Jhumun,Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Gansam Boodrambaada ya kuonana na kufanya mazungumzo nabalozi huyo Ikulu Jijini Dar es salaam. Aprili 17,2019.

Dkt. Magufuliakipeana mikono na John Chiligati aliyeongozana na Balozi wa Mauritiusnchini Jean Pierre Jhumun,Mwenyekiti wa Kampuni ya Sugar Investment Trust (SIT) ya Mauritius Gansam Boodram pamoja na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji, Dkt. Edwin Mhede baada ya kuonana na ufanyamazungumzo yao Ikulu jijini Dares salaam. Aprili 17, 2019


No comments