Breaking News

MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI IRINGA.


Dkt. Magufuli akizungumza na wananchi wa Mafinga mara baada ya kuwasili wakati akitokea Makambako mkoani Njombe.

 Umati wa Wananchi wa Mafinga wakimsikili za Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao.


Dkt. Magufuli akimsikili za kijana Baraka Mwakipesile (AnkoMagu) wa Mafinga ambaye anaigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza.


Baraka Mwakipesile (AnkoMagu) Kijana anayeigiza sauti ya Rais Dkt. Magufuli akipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Magufuli alipokuwa akihutubia. Pichana IKULU


No comments