Breaking News

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO MAALUM LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA.


Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako, wakati alipo wasili kufungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Aprili 11, 2019, katika Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
 
Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, wakati alipo wasili kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Aprili 11, 2019, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Tokea kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Shadrack Mwakalila, Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.
 
Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Aprili 11, 2019, katika Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam. Katikati ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.
 
Majaliwa akitoka kwenye jengo la Utawala la Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam, kabla ya kufungua kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere Aprili 11, 2019. Kulia ni Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako.


Majaliwa akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira, kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere yaliyofanyika katika Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019. 


Majaliwa akihutubia, kwenye ufunguzi wa kongamano la maadhimisho ya kumbukizi ya Mwalimu Nyerere lililofanyika katika Chuo cha Mwalimu Nyerere, Kigamboni jijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments