Breaking News

MAJALIWA AKAGUA MRADI WA UJENZI WA SOKOINE MEMORIAL HIGH SCHOOL, WILAYANI MVOMERO MOROGORO

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa ramani na Kaimu Mhandisi wa Wilaya Silva Mkonda, wakati akikagua mradi wa ujenzi wa Sokoine Memorial High School, wilayani Mvomero Morogoro akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Dkt. Steven Kebwe. 
 
Majaliwa akikagua majengo ya shule ya Sokoine Memorial High School, wilayani Mvomero Morogoro akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. 

 
Majaliwa akiangalia mnara wa kumbukumbu ya Hayati Moringe Sokoine, uliopo Wami Dakawa wilayani Mvomero, akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam Aprili 10, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments