Breaking News

MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WABUNGE KABLA YA KUWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA OFISI YAKE.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge kabla ya kusoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa Mwaka 2019/2020, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019.


Spika wa Bunge, Job Ndugai akizungumza, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019. 

Mwenyekiti wa Kamati  ya Kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili, Kinga na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka akisoma mapendekezo  ya Kamati hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 4, 2019.

No comments