Breaking News

MATUKIO YALIYO CHAGIZA FURAHA WAKATI MAGUFULI AKIZINDUA MJI WA KISERIKALI MTUMBA.

Rais Dkt. John Magufuli akifunua kitambaa na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Dkt. Magufuli akimpongeza Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Dkt. Magufuli akimpongeza Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.


Picha namba 4 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe na Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan,Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Viongozi wengine kuashiria Uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Dkt. Magufuli akimpongeza Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Mkuchika mara baada ya kukata utepe alipozindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Dkt. Magufuli akiwa katika Ofisi mpya ya Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.
 
Dkt. Magufuli akipiga simu alipokuwa katika Ofisi mpya ya Waziri wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora mara baada ya kuzindua Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

Dkt. Magufuli akishuhudia Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo akimvesha cheo cha Brigedia  Michael Mbuge mara baada ya kumpandisha cheo hicho kipya kutoka Kanali  katika uzinduzi wa Mji Mpya wa Serikali katika Sherehe zilizofanyika katika jengo jipya la Wizara ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, pamoja na ufunguzi wa  Majengo 21 ya Wizara zote  eneo la Mtumba Jijini Dodoma Aprili 13,2019.

No comments