Breaking News

NDUGAI ATETA NA BALOZI WA CHINA NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM.


Spika wa Bunge Job Ndugai  (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 
Ndugai  (kushoto) akimsikiliza Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
  
Ndugai  (kushoto) akizungumza na Balozi wa China nchini Wang KE mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
 
Ndugai  (kulia) akiagana  na Balozi wa China nchini Wang KE mara baada ya kuzungumza naye mapema leo Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

No comments