Breaking News

UVCCM YAFANYA ZIARA KATA YA MLOWA BARABARANI, WILAYANI CHAMWINO.

Mbunge wa viti maalumu Mariam Ditopile akizungumza na wana ccm hawapo pichani,  waliofika katika ziara ya UVCCM katika kata ya Mlowa Barabarani.

Katibu wa Hamasa na chipukizi wa chama cha  mapinduzi Mkoa wa Dodoma Amani Mlagizi akizungumza na wanachama hawapo pichani, katika ziara hiyo.

Mbunge wa viti maalumu Mariam Ditopile akizungumza na wana ccm hawapo pichani,  waliofika katika ziara ya UVCCM katika kata ya Mlowa Barabarani.

Msafara wa  Jumuiya ya vijana wa CCM, wakiwa katika Eneo ambapo ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Chamwino, walipofika kuangalia utekelezaji wa ilani ya chama hicho.

No comments