Breaking News

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KENYA NCHINI.Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angellah Kairuki akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Dan Kazungu, ofisini kwake Jijini Dodoma tarehe 10 Aprili, 2019 alipokutana naye na kufanya mazungumzo.

Waziri Angellah Kairuki akizungumza jambo na Balozi wa Kenya Nchini Dan Kazungu alipokutana naye kufanya mazungumzo juu ya masuala ya uwekezaji nchini walipokutana tarehe 10 Aprili, 2019 katika Ofisi zake Jijini Dodoma.

Balozi Dan Kazungu akisisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angellah Kairuki walipokutana Jijini Dodoma mapema hii leo.

Waziri wa Nchi - Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji) Angellah Kairuki akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Dan Kazungu, ofisini kwake Jijini Dodoma Aprili 10, 2019 alipokutana naye na kufanya mazungumzo.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - UWEKEZAJI)


No comments