Breaking News

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF TANZANIA

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, walipokutana kwa mazungumzo, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogonijijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019. 
 
Majaliwa akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogonijijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019.
 Majaliwa akioneshwa picha ya watoto na Mwakilishi wa UNICEF Tanzania Maniza Sultan Zaman, baada ya mazungumzo yao, ofisini Magogonijijini Dar es Salaam Aprili 11, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


No comments