Breaking News

WIZARA YA MADINI YAKUTANA NA TAMIDA


Waziri wa Madini Doto Biteko  (wa kwanza kulia) akizungumza jambo wakati wa kikao baina yake na Chama Cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA). Wengine wanaofuatilia ni Kamishna wa Madini, Mhandisi David Mulabwa (kulia kwa Waziri) na   Ujumbe wa Chama hicho.

 Biteko na Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo wakimsikiliza Mwenyekiti wa TAMIDA Sam Mollel wakati akizungumza jambo katika kikao hicho. Wengine wanaofuatilia ni Kamishna wa Madini David Mulabwa na mmoja wa wajumbe wa chama hicho, Abe Latif.

Baadhi ya Viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara ya Madini Tanzania  (Tamida) wakifuatilia mkutano wao baina ya Waziri wa Madini Doto Biteko , Naibu Waziri na Viongozi wa Wizara.


Biteko katika picha ya pamoja na Viongozi wa (TAMIDA) pamoja na  Viongozi Waandamizi wa Wizara baada ya kikao.  


No comments