Breaking News

MAJALIWA KWENYE VIWANJA VYA BUNGE JANA MEI 15,2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busega, Dkt.  Raphael Chegeni kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma,  Mei 15, 2019.

Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 15, 2019. Katikati ni Mbunge wa Busega, Dkt. Raphael Chegeni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments