Breaking News

WAZIRI MKUU AFUTURISHA WABUNGE JIJINI DODOMA.


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na Spika wa Bunge Job Ndugai wakiwaongoza Waheshimiwa Wabunge kupata futari aliyowaandalia katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi, Kaimu Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Joseph Selasini wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu (wakwanza kulia), Waziri wa Elimu, Sayansi na Tenknlojia Prof. Joyce Ndalichako, Waziri wa Nchi (Ofisi ya Waziri Mkuu)-Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Angelina Mabula wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
 
 Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu Ofisi ya Bunge Jane Kajiru (wakwanza kushoto) wakipata futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu  Kassim Majaliwa katika Viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

No comments