Breaking News

MATUKIO YA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU BUNGENI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019.

Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Mariam Ditopile (kushoto), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. Kulia ni Mbunge wa Kibiti, Ally Ungando. Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. 


Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Iramba Magharibi, Mwigulu Nchemba(kushoto) na Mbunge wa Viti Maalum Ester Mmasi(kulia) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. 


Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kibakwe, George Simbachawene, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. Katikati ni Mbunge wa Momba, David Silinde. 


Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. Katikati ni Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi. 


Majaliwa akifurahi jambo na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Peter Serukamba, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 11.2019. 


Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Vunjo, James Mbatia, nje ya jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019. 
Majaliwa akisalimiana na Spika wa Bunge la Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019.

 Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mheshimiwa Donatile Mukabalisa, ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Juni 11.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments