Breaking News

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGUA ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARI KUKABILIANA NA MAGONJWA YA MLIPUKO.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Ummy Mwalimu, akisisitiza umuhimu wa Sekta za Afya kutumia Dhana ya Afya moja, wakati  akifungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, (Watu wenye Ulemavu), Stella Ikupa, akitoa hotuba wakati wa  mkutano wa kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Naibu Waziri Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akitoa hotuba wakati wa  mkutano wa kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani, leo mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Ummy Mwalimu, akifuatilia mkutano wa kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Baadhi ya Watumishi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto wakifuatilia mkutano wa kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee, na Watoto, Ummy Mwalimu, akisisitiza umuhimu wa Sekta za Afya kutumia Dhana ya Afya moja, wakati akiongea na Waandishi wa Habari mara baada ya kufungua zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Mratibu wa  Dawati la Afya Moja, Ofisi ya Waziri Mkuu, Harrison Chinyuka (wa kwanza kulia) akiwa katika chumba maalum cha Menejimenti ya Taarifa za zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Mawaziri, Manaibu mawaziri wa Tanzania  na Kenya, pamoja na viongozi wa mashirika ya Kimataifa wakiongea na Vyombo vya Habari, mara baada ya ufunguzi wa   zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019.


Mkurugenzi wa Idara ya Maafa Ofisi ya Waziri  Mkuu, Kanali Jimmy Matamwe, akisalimiana na baadhi ya wafugaji walioshiriki katika mkutano wa  kufungua  zoezi la Kupima Utayari wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Kukabiliana na magonjwa ya mlipuko mipakani,  leo  mpakani mwa Tanzania na Kenya, kwenye eneo la Namanga, tarehe 11 Juni, 2019. (PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


No comments