Breaking News

AMANI ABEID KARUME NDANI YA VIWANJA VYA SABASABA.

Rais Mstaafu-Zanzibar, Amani Abeid Karume, akisaini kitabu cha wageni katika banda la wajasiriamali wakinamama, alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume, akipata maelezo kutoka kwa mjasiriamali katika banda la Wajasiariamali kinamama, kuhusu Bidhaa zao alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume akipata maelezo kuhusu bidhaa za korosho kutoka moja ya makampuni ya kuzalisha korosho nchini alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume, akiangalia jinsi  bidhaa ya korosho inavyoandaliwa kutoka kwa mwandaaji wa Moja ya makampuni ya kuzalisha korosho yaliyoko kwenye maenesho ya baishara ya Kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume, akichagua Korosho kutoka kwenye moja Makampuni yaliyoko kwenye maonesho ya biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume na Mkewe Mama Shadya Karume wakiwa kwenye sofa zilizotengenezwa na Jeshi la Magereza, wakati alipotembelea maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume na Mkewe Mama Shadya Karume, wakiangalia bidhaa zinazotengenezwa na Jeshi la Magereza walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.


Karume, akiangalia transifoma lililotengenezwa hapa nchini na kampuni ya Tropical walipotembelea banda lao katika maonesho ya 43 ya Biashara ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya JK Nyerere barabara ya Kilwa, Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO).


No comments