Breaking News

URA YA UGANDA NA JAMHURI YA ZANZIBAR ZATOKA SARE YA 1-1 MCHEZO WA KOMBE LA MAPINDUZI, LEO

Kipa wa Timu ya Jamuhuri Ali Khamis akiokoa mpira wa kona golini kwake wakati wa mechi ya Kombe la Mapinduzi iliyopigwa kati ya timu yake na timu ya URA ya Uganda katika Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar leo, Timu hizo zimetoka sare ya bao. 1-1.(Picha na Othman Maulid)

No comments