Breaking News

JPM AZINDUA UKUTA MERERANI AMPA MVUMBUZI WA TANZANITE MILIONI 100

NA MWANDISHI WETU
Rais Dk.John Magufuli wa ,amezindua ukuta wa machimbo ya madini ya Tanzanite, yaliyopo eneo la Mererani, kaskazini mwa nchini Tanzania.
Rais Magufuli aliagiza kujengwa ukuta kuzunguka mgodi wa Tanzanite mwaka janaUkuta huo ulijengwa ili kuzuia wachimbaji madini kukwepa kulipia ushuru na kuiba madini.
Bwana Jumanne Mhero Ngoma alivumbua dini la Tanzanite mwaka 1967.
Jumanne Ngoma mvumbuzi wa madini ya Tanzanite mwaka 1967
Dk. Magufuli amesema hatosita kuzungushia ukuta sehemu yoyote yenye rasimali ambayo inaleta utata, hata ikiwa mlima Kilimanjaro yupo radhi kuulinda kwa kujenga ukuta.
Hata hivyo, Magufuli alitambua uwepo wa mvumbuzi wa kwanza wa madini ya Tanzanite ambaye hakuwahi kutambuliwa na taifa.
Bwana Jumanne Mhero Ngoma alivumbua aina hiyo ya dini la Tanzanite mwaka 1967
Jumannne Ngoma ametambuliwa na Dk.Magufuli na amemzawadia shujaa huyo milioni 100 kwa ajili ya kumsaidia kujikimu na matibabu baada ya mzee huyo kupooza sehemu ya mwili.
Aliwahakikisha wachimbaji wadogo kwamba atawajengea 'mazingira ili kusudi wafaidi na Tanzanite zaidi'

Tanzanite ni madini ya aina gani

Ni dini ambayo ni ya kipekee kwa Tanzania haipatikani sehemu yeyote duniani.
Mauzo ya Tanzanite duniani yanafikia dola za Marekani milioni 50
Tanzanite ni jiwe yenye miaka milioni mia 6 na iligundulika Mererani, Arsuha, kaskazini mwa Tanzania, mwaka 1967
Inasemekana kuwa na upekee hata ziadi ya alhmasi.

No comments