Breaking News

MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR ATEMBELEA SHIRIKA LA NDEGE ATCL


MKURUGENZI  Mkuu wa Shirika la Ndege Tanzania Ladislaus E.Matindi , akitowa maelezo kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi , alipotembelea banda la maonesho la ATCL, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Wadau wa Sekta ya Usafiri wa Anga, uliofanyika katika hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kulia), akipokea mfano wa ndege aina ya Bombardier MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Ndege Tanzania Bwana. Emmanuel Koroso, akimkabidha Ndege ya Bommbadier Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi , wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 7 wa Kimataifa wa Wadau wa Anga Duniani uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort Mazizini Zanzibar.

No comments