Breaking News

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA


.

RAIS Dk. John Magufuli, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Misri ambaye kwasasa ni Mshauri wa Rais wa Misri, Mhandisi Ibrahim Mahlab, Ikulu, Dar es Salaam, jana. (Picha na Ikulu).


VIJANA wakijaza mchanga katika malori, baada ya kuukusanya kutoka katika mitaro ya maji kando ya barabara, Mbezi Beach, Dar es Salaam, jana. (Picha na Muhidin Sufiani). 
KIONGOZIi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Charles Kabeho, akizindua  mradi wa maji katika Kijiji cha Mhunga, Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, jana. (Picha na Fadhili Abdallah)

No comments