Breaking News

MATUKIO YA WAZIRI MKUU AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI KATIKA VIWANJA VYA VUNGE
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Munira Mustafa Khatib, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2018, kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa China nchini Tanzania, Bi. Wang Ke, ofisini kwake Bungeni mjini Dodoma Aprili 20, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuteuliwa, Abdallah Bulembembo, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Aprili 20, 2018, kutoka kushoto ni Mbunge wa Karagwe, Innocent Bashungwa, wa kwanza kulia ni Mbunge wa Mtama, Nape Mnauye na wapili kulia ni Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aeshi Hilaly. 

No comments