Breaking News

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKIWA NA WABUNGE KATIKA MATUKIO MBALIMBALI.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. 
.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) - Managing Director and CEO, Ladislaus Matindi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. 


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge wa Bunge la  Afrika ya Mashariki wanaoiwakilisha  Tanzania, Ofisini kwake mjini Dodoma Aprili 23, 2018.  Kutoka kushoto ni Josephine Lemoyan,  Happiness Lugiko, Mhandisi Habibu Mnyaa, Mariam Ussi Yahya, Alhaj Adam Kimbisa, Fancy Nkuhi na Dkt. Abdullah Hasnuu MakameNo comments